Recent content by Bintiwamoyo

  1. B

    Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

    Ndio maana kipindi kile madaktari wa Kenya walivyogoma (sikumbuki mwaka) Magufuli akamwambia Uhuru atampa madaktari kutoka Tanzania, WaKenya wakachekaa kwa dharau wakasema kama kuna madaktari Tanzania basi ni Waganga wakienyeji. Basically, kusema kiwango cha elimu yetu kikochini sana. Very poor...
  2. B

    Rais Samia Suluhu Hassan, ni Mnyenyekevu kwa Watu Wote, Tuwaombee na Wasaidizi wake kuanzia ngazi ya Mkoa wawe hivyo

    Katiba mpya hutaki? Kama hayo uliyoyaandika yanaumuhimu kwako ni bora ukasupport katiba mpya itakayo kupa wewe uwezo wa kuwajibisha viongozi wabovu, kuleta mfumo wa kuheshimu sheria na kuwajibisha mafisadi na viongozi wanao hujumu nchi
  3. B

    Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

    Halafu kuna mijitu inalipa kodi lakini imekazana kusema hatuhitaji katiba mpya. Kukosa elimu bora ni kitu kibaya sana
  4. B

    Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Ni wapuuzi na gazeti lao ni la kipuuzi. Unaeza kuta ni gazeti la mwana Lumumba
  5. B

    Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

    Mlitegemea wahudhurie Bunge la chama kimoja? Hela zao mnachukua kwa ahadi kwamba mtadumisha demokrasia. Wameona kwa macho yao kwamba hakuna demokrasia wala haki. Mwanzoni walishauri Magu arekebishe upuuzi aliofanya ila wameona Magu amewapuuza.
  6. B

    Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

    Tumia ubongo kidogo. Bajeti yenu ya Taifa hela huwa mnatoa wapi?
  7. B

    Uchaguzi 2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

    Muacheni Mungu wa watu. Kikombe mmekikumbatia wenyewe halafu mnategemea Mungu awaepushe. Mungu alishawapa akili hamtaki kuitumia subirini kuangamia
  8. B

    Uchaguzi 2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Unaakili kweli wewe? CCM iwe madarakani halafu chadema ndio watoe ajira? Pumbavu, hizi ndio akili za maccm. [emoji706][emoji706]
  9. B

    Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Tume haitamtangaza Lissu kamwe. Tusipofanya maamuzi magumu ya kukataa rais wa Tume basi tujue CCM itatawala milele. It’s now or never. Katiba lazima ibadilishwe
  10. B

    Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    We nae, CCM haijawahi kushinda urais isipokua Kikwete. Magu hakushinda 2015 kama ambavyo hata shinda mwaka huu. Tume na Polisi ndio wanaoibeba CCM. Ushindani wa kura za wananchi pekee CCM hawashindiii na hata wewe unaijua hio
Back
Top Bottom