Recent content by bintimwakyoma

  1. B

    JamiiForums Tanzania Membe uliaga, iweje unarudi tena jimboni?

    sasa na lowassa aliyesema plan a yake ni kushinda,plan b ni kushinda pia na plan c ni kushinda.ndugu yangu ukiwa unaanza safari lazma uwe na imani kwamba utafika especially kama unataka watu wa kusafiri nao,ili nao wawe na imani safari mtafika pamoja.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Membe uliaga, iweje unarudi tena jimboni?

    wengi mnaocomment humu mnatoa habari zenu vijiweni,hata wewe mtoa mada utambue kwamba hakuna tuzo jamii forums. kwa maisha ya kawaida kuna kuanguka na ukianguka kuna kujipanga tena. na kwenye siasa ndiyo vile vile.sasa ukiona mwana siasi ana ujasiri wa kuliaga jimbo na baadaye kusema anarudi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Membe katoa wapi fedha za kuzunguka Mikoani kutafuta wadhamini kwa ndege binafsi?

    Hao wanaonunua yutong hawaonekani, yutong mil 350 hadi 400 kama its customized. Na hapo hapo wengine wana helikopta. Kukodi ndege haizidi dollar 1500 kwa ile ndege anayotumia membe kama mil 3 sasa itabidi membe afanye safari kwa ndege zaidi ya 130 kufikia bei ya yutong. Mikoa ya kutembea ni 15 tu
Back
Top Bottom