Kuna mambo katika nchi hii yanatokea huyajui.
Nimepata kisa cha kusikitisha cha mwalimu wa shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo, Pwani kulipwa mshahara wa elfu thelathini na nne (34,000) Tsh baada ya kupewa adhabu na Tume ya Utumishi wa Walimu TSC-Bagamoyo.
Mwalimu huyu amepewa adhabu ya...
Walimu waboreshewe maslahi kama wabunge.
Nilisikia report ya katibu mkuu wa tume ya Utumishi wa Walimu kwamba asilimia 50 ya Walimu wamefukuzwa kazi kwa utoro baada ya kuishi ktk mazingira magumu.
Mbona hatusikii idadi hiyo kuacha kazi Benki Kuu, TRA, Uhamiaji, Bandari, Jeshi?
Kumbuka huyu mwalimu alikuwa na madeni lukuki, kabla ya adhabu hiyo alikuwa na makato mengi.
Kazi ya ualimu ina laana, maana Walimu wengi wanaishi maisha magumu.
Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini...
Tabia hii ya kuwaadhibu wanafunzi kwa kuwachania uniforms na kuwapokonya viatu vyao imeota mizizi katika shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo, Pwani.
Unamkuta mwanafunzi wa kiume suruali yake imekatwa usawa wa magoti na kuwa kaptura. Au suruali imetatuliwa kuanzia chini mpaka kwenye mapaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.