Recent content by Bint Mtiifu

  1. B

    Ushauri: Tumefunga ndoa, mimi mkristo yeye muislamu ila simuelewi

    ALIKUPENDA SANA HAKUTAKA KUKUKOSA NDOMANA ALIKUFATA KWENYE DINI YAKO MKAFUNGA NDOA YA KANISANI LKN INAONEKANA IMANI YAKE IPO KWNY DINI ALIYOZALIWA NAYO NDOMANA ANASWALI KISIRI KOZI ANAJUA UKIJUA ATAKUDISKAREJI.NASHAURI IPPENDE FAMILIA YAKO,IJALI, TIMIZA WAJIBU WAKO NA ENDELEENI NA IZO PROJECT...
  2. B

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Kwa kweli yani katika waliokoment woote aisee we una macho ya kuona na akili ya kufikili,wengine hawajaona ulichokiona mana mpk umeamua kuwapa mapande yao wanaume wakusini,nina imani waliyonatabia ya kususia wake zao majukum yote ya familia vidonge vimewafika.Raha ya ndoa ni kushirikiana mke na...
  3. B

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Ndugu yetu upo kusini ya wapi wewe ambapo mamako mvivu,dada zako,shangazi zako,bibi zako na hata upande wa uyo mke wako wote ni wavivu kwamba wanaume ndo wachapa kazi.Kama nni Lindi na Mtwara hutakuwa utakuwa unatudanganya mana wanaume kule asilimia fulan ni wategeaji waka si ajabu mwanamke...
  4. B

    Sifa kuu ya wanawake wa Kusini ni uchapakazi

    Pole Brave Boy it seems uliwahi date na mtu wakusin penzi likakuchachia ndo umekuja kupumulia hapa na may be ulimtenda nae akakutenda kwaiyo umechukia watu wote wakusin sio vizuri ndugu yetu punguza hasira.Izo kasoro ulizotoa hata kwenye makabila mengine wanazo ni tabia ya mtu.Ebu mcheki mzee...
Back
Top Bottom