Kwa yeyote mwenye taarifa, au mwenye uwezo wa kutusaidia, asubuhi ya leo, Jumapili, Oktoba 3, 2010, kwenye eneo la maegesho ya magari nje ya Kigango cha Mt. Thomas Moore, Ally Sykes Close, Mbezi Beach, takriban saa 4 za asubuhi, wakati misa ikiendelea, gari aina ya Suzuki Swift iliyokuwa kwenye...