Recent content by Binadamubwana

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Nimepokea hukumu yako, sawa asante
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Sawa, nimekosea,
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Aiseeee, pole sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Pole sana, kama ndio uelewa wako uko ivyo pole
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Vipi kama chanzo ni kibaya zaidi ya kukimbia?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Yawezekana wewe unakijua kiseme, nilishasema nina mengi ila siwezi eleza naona mmekazania
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Eeeeeh, kazi tunayo wanawake loh
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Labda nimefupisha sana kiasi watu mmehisi nimeleta malalamiko, haikuwa lengo kama ulivyotafsiri. Asante
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Kwa kuwa umetoa suluhisho ni sawa, nakubali kuwa mimi ni mchafu na yeye ni msafi,
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Siwezi ruhusu kupasha kiporo ili watoto wapate matunzo, kama wa kuwatunza anewatunza bila kuhitaji kukutana na mimi. Mbona mnaona mwanamke mnaweza kumchezea tu mkitaka loh
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Kuwasaidia watoto ni mpaka akutane na mimi faragha? Mwenye nia ya kuwasaidia watoto angewasaidia tu, ndio maana nikikataa analeta maneno kama nilyosema kuwa nina jeuri, kiburi, nitakuwa na mwanaume ambaye ananipa kiburi, na kusema hatawasaidia kwa kuwa nakataa. Nadhani hamjaelewa, lengo la...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Hongera kwa hukumu yako, hajawahi kufuma chochote, na sina tabia chafu kama unazonihukumu nazo. Pole kwa kuwaza mawazo hasi.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Nimetangulia kusema kuwa nimeandika kipande kidogo sana cha mkasa wangu kuna mengi makubwa ambayo sijasema na sijasema kwa sababu maalum, ungejua mkasa mzima natumai usingesema habari za kumsamehe, Nilishamsamehe wala simhukumu, na yeye hana nia ya kutoa support mpaka akutane na mimi labda kwa...
Back
Top Bottom