Recent content by Binadamu wa Kwanza

  1. B

    Wanaume hili huwa mnalichukuliaje?

    Wewe inaonyesha bwana wako amekuomba nyumba, umekuja hapa kupata ushauri. Nakushauri usimpe ata kama unampenda vipi.
  2. B

    Wanaume hili huwa mnalichukuliaje?

    Mimi imeshawahi kunitokea,
  3. B

    Nimemzidi umri kwa miaka 12

    Hakuna Mapenzi hapo Mnatamaniana tu..
  4. B

    Plot 25*25 for sale

    Weka namba tuwasiliane
  5. B

    Kioo cha note II.

    Kariakoo Mtaa wa Agrey, uliza kwa Mama Mwarabu.
  6. B

    Plot4Rent Nauza Kiwanja Goba

    Kwa Aliye interested tuwasiliane 0682901837
  7. B

    Plot4Rent Nauza Kiwanja Goba

    Sawa nakutumia.
  8. B

    TV4Sale Flat screen inauzwa TShs 200,000/= tu

    Laki1.5 unachukua? Kama ndiyo tuwasiliane, Mimi nipo Tegeta
  9. B

    Plot4Rent Nauza Kiwanja Goba

    Umeme Upo, Barabara ya gari nzuri ipo.
  10. B

    Plot4Rent Nauza Kiwanja Goba

    Kiwanja Kipo Goba, Mtaa wa Muungano. Karibu na Mivumoni. Ukubwa wa kiwanja: SQM 500, Bei Milioni 8.5. Direction: Ukitokea Tegeta Wazo alafu Mivumoni center then Kiwanjani. Kipo Kilometer3 kutoka Wazo kiwanda cha Sementi. Tuwasiliane: 0682901837
  11. B

    House4Rent Nyumba nzuri inapangishwa, Ipo kijitonyama mabatini DSM

    Ipo Bado iyo Nyumba? Laki6 anachukua? Inafaa kwa ofisi?
Back
Top Bottom