Kwa wale mnaotumia maneno haya "sir" na "madam",naomba niwaulize mlifanya jambo gan ambalo ni Unix/uniki sana mpaka mjipachike hicho cheo cha u-madam na u-sir?.
Tafadhali sana kwa hasa sisi wabongo kwa sababu kila kitu tunafanya kama "shamba la bibi" bongo sir in mmoja tu ambaye ni sir George...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.