Recent content by bimstaafu

  1. B

    Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

    Mapenz yanayoanzia msimu wa masika hayaaminiki ukute dume linasumbuliwa tu na barid mdada unachukulia serious
  2. B

    Kama kuna mdada ajapata abaya mpaka sasa kuna elfu 30 apa aje achukue.

    Sa 30K unapata abaya gani mkuu. Ikikupendeza Ongeza 0 moja na digit ya kwanza ibadilike.
  3. B

    Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

    Haelewi tu mkuu. Siamin ktk nyota ila naamin kuna baadh ya wanawake tumeumbwa na vitu(sio urembo) fulani vya tofaut vinavyofanya baadhi ya wanaume wakitujua wahisi without us life is meaningless. Binafsi nimekua naliliwa na wanaume wazee/vijana kapuku wenye nazo toka niko binti na sasa ni...
  4. B

    Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    NAhisi mimi nina uwezo mdogo wa kujieleza mana hujaelewa kabisa nilichomaanisha hivyo sitapenda kukuchosha kwa kujaribu kufafanua. . Asante🙏
  5. B

    Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Sikatai hata mm nina 72 ila bado natongozwa ila ukweli unabaki pale pale mshangazi ni mshangazi na binti ni binti.
  6. B

    Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    MKuu. Ukioa mbibi,mtakua na amani mkiwa peke yenu tu ila popote walipo wengine lazima watawashangaa na kuwasema na wengine watawacheka. Mkewe macron anasemwa vibaya nadhan kuliko wake wa marais wote kwa sasa.Wamefikia hadi kusema ni dume ila sio dume ni yale maplastic sugery ya kupambana na...
  7. B

    Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Kabisa. Eti kijana wa 30 aache kuvutiwa na binti wa 18 au 20s ambao kila kiungo chao kinavutia aje anidanganye mm kikongwe eti kanipenda sbb kachoka fujo za vibinti na nimuamini.Kwanza sitajiamin mbele zake.Na sijawahi ona kijana mdogo kadeti na bibi choka mbaya.Mimi na uzee wangu pamoja kuwa...
  8. B

    Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Napata tu shida kuamini kijana mdogo atapenda kwa dhati mwanamke rika la mamake ila As long as sio mashoga,kama kijana sio minor na kampenda bibi kwa dhati hakuna mwenye haki yakuwasema vibaya.
  9. B

    Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Hapana. Sitaumia. Mwanaume wa 50 anaweza kuoa binti wa 20 na wakapendana kwa dhati na wakaheshimiana ILA ni nadra sana mwanamke wa 50 aolewe na kijana hata wa 30 wapendane kwa dhati na waheshimiane. Nitahudhuria na kuchangia harusi ya babu wa 50 na bride 20 ila ya bibi wa 50 na groom wa 30...
  10. B

    Leo nimenunua Big G za elf 12, naenda kuzitafuna zote kwa pamoja

    MM bibi enu ndo mwanamke pekee ktk huu uzi. HIvi mwanaume kuwa comfotebo na Id ya kike ni utapeli,ushoga,ugonjwa wa akili au vyote kwa pamoja.? Halafu mtu akiwashtukia zinakuja Id kongwe kuokoa jahazi kwa kubebishana na "pisi kali" za JF. Ptuuuuu
  11. B

    Leo nimenunua Big G za elf 12, naenda kuzitafuna zote kwa pamoja

    MM bibi enu ndo mwanamke pekee ktk huu uzi. HIvi mwanaume kuwa comfotebo na Id ya kike ni utapeli,ushoga,ugonjwa wa akili au vyote kwa pamoja.? Ptuuuuuh
  12. B

    Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hutaniamini ila umechanganyikiwa mkuu. Hata hivyo kwa sifa za "shetani" akija tutampenda kuliko Yesu na wala hakuna mwenye hasira nae. Yesu is boring lucifa is cool. Fikiria vizuri utanielewa.
Back
Top Bottom