Hivi haya mashirika ya uma lini yataacha rushwa???? Watu wamelipia umeme toka mwaka jana et tunaambiwa hakuna vifaa, wakati huohuo kuna mtu anakwambia kuna vifaa vichache so jiongeze ili uje ufungiwe umeme.
Hivi inamaana mnaagiza vifaa mpaka viiahe kabisha au ndi ukiritimba umewajaa. Jaman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.