Maandamano ya Mbowe ni kutaka kujiimarisha CHADEMA.
The Moment Mbowe anamuacha Lissu kwenye kamati ya maridhiano 6 x 6 Lissu aliamua kufunga roho yake kwa kutokubaliana na maridhiano hata ndani ya chama aliendelea kumpinga Mbowe juu ya maridhiano hayo ambayo yalileta mpasuko ndani ya CHADEMA...
Hakuna mwenye uwezo wa kufanya hivyo kwasasa wamefanya chama kuwa sehemu ya kuchumia ndiyo maana wenye Pesa wanaweza kuwapelekesha watakavyo.!
Nani wa kumuhoji Mbowe kwasasa anaamua na kupanga kila jambo ametegea uchaguzi ufike awabane CHADEMA na amefanikiwa lengo lake. Amewapangisha kwa...
Bado Chadema imeshindwa kuondoka mikononi mwa mikono ya Mbowe hii ni baada ya kupanga nyumba maeneo ya Mikocheni, nyumba inayomilikiwa na Mwenyekiti wa chama hicho Aikael Mbowe mwanzo chama hicho walikuwa wamepanga ofisi Kinondoni mtaa wa Ufipa nyumba iliyokuwa mali ya Edwin Mtei.
Sidhani kama...
USHINDI WA RAIS SAMIA 2025 NI ASILIMIA 95.
Tanzania tumezoea Siasa za Ushawishi kufanya siasa bila ya ugumu wa kuhasimia au kugawana hizi ndiyo siasa tunazozitaka. Mawazo tofauti si chuki si uadui ni uwezo wa kuzidiwa ushawishi tu.
Mfumo wa vyama vingi ulipokuja Tanzania Mwaka 1992, ulikuja na...
Baada ya kuapishwa Machi 19,2021 Rais Samia alitamani kuona Tanzania inasimama peke yake bila kutegemea mikopo, lakini ukitizama katika hali tulivyokuwa nayo ilikuwa ni sawa na kujichimbia shimoni!
Siku zote palipo na matatizo kuna mzizi wa tatizo lenyewe huo ndiyo wa muhimu kuukata! Matunda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.