Ajira mpya afya halmashauri ya wilaya ya Iramba hatujalipwa pesa zetu za kujikimu, na kila siku tukifuatilia tunaambiwa fedha ziko hazina wiki ya pili saa tangu tumeanza kufuatilia, mara tunaambiwa kulipwa hizo fedha ni 50/50 tukiuliza sababu ya kuwa 50/50 ni nini hamna majibu ya kueleweka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.