Bado nina wasiwasi na katiba rasimu hii! Bado inampa mamlaka makubwa sana rais hadi anweza ingilia muhimili wa Mahakama. Rais anateua jaji Mkuu na Makamu wake! Sijaona maana yake. Pili kama tumekubaliana serikali tatu ya muungano basi kuwe na Serikali ya zanzibar, Tanganyika na ya Muungano...
Nchi hii ina matatizo mengi sana! Siamini huyu Nchimbi ni Dr wa nini? Kama Doctor of Philosophy, alifundishwa nini? Anashindwa kufikiri? Why? Anashindwa kufanya upembuzi wa kina, nini sababu ya matatizo hayo? Watanzania tumechoka siasa za katuni. Tunataka siasa inayoleta tija kwa watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.