Jamani poleni na majukumu ya kila siku, ninaomba mnisaidie mimi ni mwajiriwa mpya katika halmashauri ya wilaya. Je, upo waraka unaoonyesh stahili zangu maana hapa naambiwa ni fedha za kujikimu tu. Nb: Nina mke na watoto mtoto na ndio ajra yangu ya kwanza na elimu yangu ni diploma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.