Recent content by bilemasome

  1. bilemasome

    Bati za Alaf

    Ingia kwenye website ya Alaf boss wangu huwa wanaweka bei pale.
  2. bilemasome

    Bati za Alaf

    Zilibaki baada ya kupaua Boss wangu.
  3. bilemasome

    Bati za Alaf

    Soma Maelezo vizuri Tajiri😊 Nimemaliza kupauwa nimebakiza bati 5 nzima Tajiri. Hazina vipengere labda uje navyo wewe Tajiri😊 👉Bati ni Kampuni ya ALAF geji 30. 👉Mgongo mpana(Covermax) zipo 3 na mgongo mdogo zipo 2. 👉 bei ni TZS. 34,000 tu(hamna maongezi) kwa kila moja Tajiri. 👉 Zote jumla ni...
  4. bilemasome

    Tupeane elimu kuhusu ununuzi wa viwanja, hususani vya makazi

    Habari Ndugu, jamaa na marafiki Sisi sote tumesikia au tumepitia kuhusu kutapeliwa kwenye ununuzi wa viwanja. Hii hali inachosha na inaumiza sana, hasa kwa yule aliyetapeliwa kwenye ununuzi wa viwanja. Wengi wetu huwa tunawacheka waliotapeliwa au kununua kiwanja chenye mgogoro (nakuombea...
  5. bilemasome

    INAUZWA Mashine za Stationery zinauzwa

    nauza hizi mashine za Stationary..chagua unayoipenda hapo..njoo na ofa yako nzuri kabisa ..tuafikiane uchukue bidhaa.. NB. Zimeharibika hazifanyi kazi..ila unaweza ukazirekebisha zikapiga mzigo tena. Zipo Muleba, Kagera..! Tukiafikiana bei, nakusafirishia mm mwenyewe mpaka hapo ulipo kama upo...
  6. bilemasome

    Naiuza hii Laptop.

    Dell Latitude d610. Hard disk 320GB Duo core. KWANINI NAIUZA?: a)- haiwaki tatizo linaweza likawa ni RAM ( Inatumia RAM DDR2) b)-sina adapter yake. (Sijaipeleka kwa fundi kuifungua fungua..kwahiyo bado ina upya wake. ) c) Nina shida na pesa. BEI: -Naiuza kwa Tsh. 220,000. MAWASILIANO...
  7. bilemasome

    INAUZWA Gari aina ya Subaru "Mpreza" linauzwa kwa milioni nne tu!

    Habari ndugu, - Namtafuta serious buyer, gari lipo fresh kabisa. - ninaliuza milioni nne tu. 4M. - lipo banana ya ukonga,ukifika stendi ya banana nipigie simu 0744505170.
  8. bilemasome

    Nyumba inapangishwa, ipo Banana Stakishari

    SOLD OUT!!! SOLD OUT!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom