Recent content by Bilali19

  1. Bilali19

    JamiiForums Tanzania Sembe yapanda bei Zanzibar, kutoka Tshs. 900 Disemba hadi Tshs.2,200 Februari hii

    Zanzibar Bei ya unga wa sembe imeendelea kupanda kisiwani Unguja mpaka kufikia Sh2,200 kwa kilo moja, kutoka kiasi cha Sh900 Desemba mwaka jana. Baadhi ya wakazi, walisema kupanda kwa kasi kwa bidhaa hiyo kunayafanya maisha yao kuanza kuwa magumu kiasi cha wengi wao kushindia urojo na ubwabwa...
  2. Bilali19

    JamiiForums Tanzania Bulaya: Makonda amenipigia simu na kudai wabunge sio chochote kwake, yupo karibu na bwana mkubwa

    chini ya Pombe kijana pembe zake zimekuwa zaidi.. binadamu hafichi tabia zake kwa muda mrefu walau hata kwa kuigiza tu... kuna siku atajipambanua tu jinsi alivyo hasa anapopata dhamana ya kuongoza watu
  3. Bilali19

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango: Umaskini umepungua kwa Watanzania

    kaya nyingi bado zipo katika lindi la umasikini tena wa kutisha
Back
Top Bottom