Cha kimataifa ni kip? Moja ya sifa ya Chuo ni kutoa acomodation kwa wanafunzi wake sasa hvyo vyuo havina hata maabara ni vya kazi gani sasa make hakuna rejea yoyote. Mnadangaya watoto watoe mawzo mtandaoni si upuuzi huoo...! Aaaa tupa Kule bhana
Ndugu wana jf kwa masikitiko makubwa nimelazimika kuujulisha uma Wa kitanzania kuwa elimu yetu ya juu sasa inaenda kuwa elimu ya kibaguzi na hii imesababishwa na serikali yenyewe kupitia combo chake chenyewe kinachohusika na kuratibu pamoja na kutoa mikopo kwa wanafunzi Wa elimu ya juu kutoa...
Acha kupaniki ndugu mkopo utapata acha na hao wadogo zetu wapewe haki yao ,tumwombe Mungu tu mkopo watatoa tuu maana kuna number kubwa ya uhitaji wa wasomi sasa watatuweka wapi wasipotupa mkopa wakati ni wenyewe wemewafanya watanzana wawe masikin .
Jipe moyo bado mwanzo tuu, usibabaike na kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.