Recent content by Bila_kuchoka

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Isaya 40:28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki. Sasa utawezaje kumuelezea mungu? kwasabab akili zake hazichunguziki nizahali ya juu mfano wa hizi akili hakuna mwana sayansi mwenyeuwezo wakutengeneza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Alteza

    Shukran mkuu nimekusoma
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Alteza

    Asante kwakuni rekebisha ip engine nzur kat ya hizo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Alteza

    Shukran mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Alteza

    Hahaa wazungumze ukweli tu hatakama ni mchungu nitauchukua tu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Alteza

    Wakuu ushauri wenu nataka niishi umu kwny teza beam 2000 yahama mwenye uzoef na hizi gari plz ushauri kwenye suala la mafuta na service kwa ujumla
  7. B

    JamiiForums Tanzania Usingizi baada ya chakula cha mchana husababishwa na nini???

    Io inatokana na tokana ukisha kula chakula damu nyingi huenda kwenye tumbo na hapo sehemu nyingne kama kichwani hupungukiwa damu nakufanya kuanza kusikia usingizi hali hii hutokea akat ukiwa umekaa tuu.hio ndo knowledge ndugu by Dr.Oscar
Back
Top Bottom