Ulitaka asemeje? Huo ndo mtazamo wake. Na hiyo ndo faida ukiwa hauna timu maana si Mbowe wala Magufuri watakao tawala akili yako. Unatumia bongo yako mwenyewe kuchambua pumba na mchele
Kosa lake ni nini? Mbona kasema ukweli! Maana ni kweli mapato makubwa yanapotea sana kila mwaka. Kama tatizo ni sheria basi tutajipanga hapo na kujirekebisha ili tusiendelee tena kuibiwa
Umesoma taarifa hiyo kweli?
Soma tena utaona haya maneno
".....where the chairman of the first presidential committee, made of academics and industry proffesional...."
Hiyo kamati haikuwa na wanataaluma pekee bali ilikuwa na wataalamu ktk industry ya madini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.