Recent content by bigmomkipipa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Zawadi?

    Wakati mwingine hili neno huwa Linanipa shida sana. Unakuta Mtu anakupigia simu au SMS Kuku salimia. Anauliza uko wapi hatuonani,ukimwambia nimesafiri tu kosaaaa." Unijie na zawadi" ndio atakachokwambia. Sasa najiuliza huyu MTU zawadi kwa kipi alichokifanya . maana hata ukirudi mkionana tu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumsamehe aliyekukosea?

    Kukaa mbali na aliyekukosea nimelifanya limewezekana sana ni mbinu poa sana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Haniulizi kwa lolote

    Exactly
  4. B

    JamiiForums Tanzania Haniulizi kwa lolote

    Habari Naomba nianzie mbali kidogo, mimi ni mwanaume wa miaka 43. Sijaoa ila niko mbioni kuoa. Wakati nilipomaliza kidato cha nne, nilijikuta katika mahusiano yaliyoniletea mtoto wa ujanani mapema sana. Mama wa mtoto huyu tuliachana nilipoingia chuo kikuu, hivyo nikawa kwenye mahusiano ya hapa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Alisema hawezi kunioa bila mimba, nimebeba hakunioa, nabadili namba ya simu

    Fanya yako tu atajielewa baadae kumekucha
Back
Top Bottom