Recent content by biginner

  1. biginner

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Lowasa ndo raisi w awamu y tano kwn wananchi wameona hilo ndo chaguo sahihi kw mda huu. Viva lowasa viva
  2. biginner

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Ki uhakisia ikulu hatuend kupambanisha mabondia Bali tunahitaji kiongoz makin atayesimamia ilani n mahitaji y watanzania. Comedy stop
  3. biginner

    JamiiForums Tanzania Magufuli anaonekana kuwa na usongo wa kutekeleza(perform)

    Mungu atujalie uzima majibu tunayo watanzania..... Kwn kwny nyimbo zao tunaambiwa ccm n ile ile iliyoshindwa tekeleza Sera Zak miaka iliyopita. N bad tunaambiwa tutaisoma namba.. Et tumeipenda wenyew. Ujumbe kwao n kwmb tumewachoka tunahitaji ukawa n mfumo wao ikulu
  4. biginner

    JamiiForums Tanzania Ni aibu watu wazima kusema Uongo, Mtama ya Nape na CCM

    Ccm mbon wanashindwa kuamin watanzania tumewachoka?
  5. biginner

    JamiiForums Tanzania Lowassa awatakia Idi Mubaraka njema Waislam na Watanzania

    Minal Faidhina Mh lowasa raisi Wang anayesubir kuapishwa
  6. biginner

    JamiiForums Tanzania Huyu Lowassa si mtu wa kawaida, sasa nimeamini

    Binafs naamin lowasa ndo mwenye majibu y matatiz y watanzania. Mungu atupe uzima tuione October 25 2015 kwn ndo mabadiliko y kwl tz itaonja
  7. biginner

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    Hii nchi cio y ccm wala ukawa n yet zote. Ila mpira n dk 90 kutabir matokeo unaruhusiwa. Ukawa bila shaka ikulu wakiwa n Mh EL
Back
Top Bottom