Recent content by bigest

  1. bigest

    Naomba ushauri: Siku hizi nikinywa pombe naumwa

    Kwanza poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki lakini ndio maisha ya mwanadamu hapa duniani. Ndugu zangu kama nilivyosema hapo juu katika kichwa cha habari, nakuja kwenu kuomba ushauli wa tatizo nililo nalo ni muda wa mwaka na nusu. Ni hivi mwanzo nilikua nakunywa pombe yaani bia, safari...
  2. bigest

    Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

    Enzi za jk hizo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Asante sana ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Sina bifu na mtu yeyote hapa wala ulaiani sina tatizo ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Mimi nmepewa fom nijaze kama unavyoiona na nikaipeleka tena nida na wakaniambia baada ya mwezi niende tena kuchukua majibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Hongera kwa kufanikiwa, nazani pia na mimi japo hata kidole kimoja kingefaa ningeshukuru lkn mimi mikono yote miwili hakuna kinachokubari Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Nakushuru kwa kunipa taarifa ambayo pia leo nmewasilisha, na kuambiwa nifuatilie baada ya mwezi mmoja lkn kwa maelezo haya napata matumaini kuwa nitafanikisha zoezi Mungu akubariki sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Kabla ya yote nlikwenda nida na kuwajurisha kwamba, nmetumiwa namba katika simu yangu,lkn chaajabu kila nikitaka kusajiri namba zangu kwa alama ya k,gumba kifaa kinagoma hivyo naomba wanihakikishie kama ndio namba yangu, wakaangalia jina wakaoanisha namba waliyonitumia , ikawa hiyo hiyo. Kwa...
  9. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Wakati wa usajiri haikusumbua kabisa, niliweka alama ya vidole bila shaka Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Shughuri zangu ni mmachinga kitengo cha nguo za mtumba nauza Sent using Jamii Forums mobile app
  11. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    [emoji23][emoji23] ndugu yangu kazi nayofanya nafanya biashara ya mavazi ya mtumba,labda huenda kazi hii ni changamoto la vidole pia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Na yeye mzazi wetu, ni vidole vyete kama mimi? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Wala sina shughuri hiyo, sjui sababu aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  14. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Asante, kifupi shughuri zangu nafanya biashara ndogo ndogo (mmachinga) kitengo cha mavazi ya mtumba Sent using Jamii Forums mobile app
  15. bigest

    Tatizo la vidole kutokukubari alama za vidole linanitesa

    Poleni na majukumu ya hapa na pale ndugu wana jamvi, kama nlivyoeleza hapo juu week iliyopita,nlipewa namba ya nida, chaa ajabu kila napoenda,kusajiri lain yangu kwa alama za vidole, hakuna kidole kinachokubari , leo nmeenda vodacom na kupewa fom niijaze na kuirudisha nida, nlivyofika nida na...
Back
Top Bottom