Recent content by bigboss1

  1. bigboss1

    Mapenzi mitandaoni

    Sio salama asilimia mia moja
  2. bigboss1

    Wadada wajawazito siku hizi ni kama wanatembea uchi

    Mdogo wangu maombi unahitajii
  3. bigboss1

    Mapenzi mitandaoni

    Jf people how are you? Wanaume siku zote na wanawake hakuna asiyependa mapenzi. Kwa hiyo hutafuta wamiliki wa mioyo yao. Ila kuhusu mitandao woi sioni kama ni sehemu sahihi kumpata mwenza wako. So kwa wanaoamini anzeni kutafuta kwingine. Au njia nyingine ya kufanikisha kusudio lako ila msipende...
  4. bigboss1

    Dude

    Umtose tena na hulipi bills zozote yeye kakuita chakula cha mchana . Siule tu na urafiki uendelee.
  5. bigboss1

    Dude

    Haahaa
  6. bigboss1

    Dude

    Ni mid Wanakera sana miaka na miaka nimeona niseme
  7. bigboss1

    Dude

    Wewe ni mwanaume rijali unaletewa chakula unaanza kukikagua mara unachambua chambua utazani mtoto anayetambua ladha ya vyakula hadi mnakera. Halafu mnaongea english broken na magari yakuazima mnajua mnakera sana.
  8. bigboss1

    Dude

    Na wewe bomu nani amekuambia kuwa wazungu wapo hivyo nimekuambia wanakera maana wanact kama wazungu na hawawezi
  9. bigboss1

    Dude

    Wanakera
  10. bigboss1

    Dude

    Wanakera
  11. bigboss1

    Dude

    Nimesema wazungu sio waarabu . Hata hao wanao wanashida zao
  12. bigboss1

    Dude

    Ndio nakuambia wanaact na hawawezii
  13. bigboss1

    Dude

    Jamani nachukia mtu akiact uzungu na hawezi kama huwezi kuiga uzungu acheni. Mtu anaenda outing anaagiza saani nzima atazuga hapo weewe hadi ache chakula kimepowa. Au juice akoroge hadi ashindwe kuinywa eti hey mbona juice zenu sio tamuu. Yaani visa vya hapa na pale. Hata kuoga anaoga masaa...
  14. bigboss1

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    Labda aliposimulia humu nakuomba ushauri yule jini kasanuka kamnyonya damu au kamtowesha
  15. bigboss1

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    No is true zamani sana maeneo fulani ya chuga
Back
Top Bottom