Recent content by big head big brain

  1. big head big brain

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Barcelona kumrudisha Neymar

    Write your reply...barca ya sasa ni messi akikabwa messi timu aina mtu wa pili wa kuiendesha timu. kiukwel barca yamuitaji sana Neymar mnoo kwakua waliosajiriwa kuvaa viatu vyake wote vimewapwaya. kama unakumbukumbu barca ya msn Neymar ndio alikua afungua njia za mashambulizi na messi alikua...
  2. big head big brain

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

    Write your reply...tatizo la watanzania wengi tunapenda kuongea Bila kuwa na uhakika Wa kitu tukiongeacho. kwasasa mi sidhani Kama kuna haja ya kumlaumu yoyote. sii atujui walifanyiana nn? au ilikuaje mpaka wakagombana, atujui walifikia wapi ktk ugomvi wao, ila kwasasa itabakia ruge...
  3. big head big brain

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    lala kwa buriani broo. kila mtu atakwenda na mazuri na mabaya yake. ila mazuri yatakiwa yakumbukwe kuliko mabaya.
Back
Top Bottom