Recent content by Bieng Gineous

  1. B

    Cheka na Madenge

    Cheka na madenge. Mwalim Madenge tokea uanze kusoma jografia, ni maziwa gan makubwa unayoyajuwa? Madenge: Nayajuwa ya Khadija Yusuph na Aisha Mashauz! jioni njema!
  2. B

    Kitoto acha nursery

    katika daladala kitoto cha nursery kikawa kinaimba..: "Baba angekuwa jogoo,na Mama kuku,mm ningekuwa Kifaranga"... Abiria wote kimya..! Kikaendelea tena kuimba..:"Baba angekuwa Beberu, na Mama mbuzi,mm ningekuwa Ndama"... konda akaona kitoto kinamzingua akakiuliza..;je Baba yako angekuwa...
  3. B

    Binti wa Kichaga

    Jamaa Alimpa mimba binti wa kichaga, Baba mtu alikasirika na akapanga kumuua jamaa, Jamaa akamtumia salaam mzee kwa kumwambia mzee ni kweli mie nimempa mimba binti yako na kusema ukweli sina mpango wa kumuoa, lakini natoa ahadi akizaa mvulana nitakupa bilioni1 na mtoto nitamchukua, Na Akizaa...
  4. B

    Epuka kauli hizi

    EPUKA KAULI HIZI PINDI UPANDAPO DALADALA. >Nitakupa >Atakupa mbele >Hujapewa mbele >Utapewa nyuma >Nitakupa nikikaa vizuri >Ngoja isimame nikupe >Subiri asimamishe nikupe >Hivi nilivyokaa nitakupaje >Utapewa tulia >Nikupe mara ngapi? >Nimempa huku mbele,msimpe huko nyuma >Si nimekwambia...
  5. B

    MTU WANGU ZISEVu

    Samahan ukiwa hunipati kwenye namba hii nitafute kwenye namba hizi m2 wng zisevu..,0785896352,0718875856 065787566 071805692...
  6. B

    Husband on that phone

    Lakini c umeelewa
  7. B

    Heli kuwa bachelor

    KWELI wanawake wana GHALAMA? kila kiungo chao kinaitaji FEDHA!!! nywele zinataka dawa! MASKIO yanataka HELENI! MACHO yanataka WANJA na SHADOW PUA inataka KIPINI, MDOMO unataka LIPSTIC, USO unataka PODA, SHINGO inataka CHENI, MATITI yanataka SINDILIA, MIKONO inataka BANGILI, VIDOLE vinataka PETE...
  8. B

    Husband on that phone

    Husband on phone: Doctor my wife is pergnant.She is having pain right now. Doctor: Is this her first child? Santa: No this is her husband speaking…
  9. B

    Mama Na Binti yake

    Binti: Mama nina mimba.. Mama: Shenzi kabisa! Haya imekuaje na tokea lini? Binti: Bahat mbaya ni ajali tu! Mama: Pumbav zako, unataka kusema ulikuwa unatembea tu barabaran ndo ukateleza ukaangukia uboo?
  10. B

    Inbox sms za madem kwenye cm:

    FRANK: I love u gal M PESA: You have received 15,000 kutoka kwa John Tesha BODABODA: Unajua nahc km nikutoe diner leo 100: Umepokea muda wa maongezi wa shilingi 4,000 JUMA: I miss u baby gal JOSEPH: Baby enter 76039743803546 then 2chart M PESA: Umepokea kiac cha shilingi 30,000 kutoka kwa Juma...
  11. B

    panya wananisumbua!

    Mke wa mtu sumu mme wa mtu maziwa
  12. B

    Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya KIJITA kwenye simu na mambo yatakuwa hivi

    Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya KIJITA kwenye simu na mambo yatakuwa hivi: phonebook-ECHITABHO. Names-AMASINA. Time-OMWANYA. Ringtone-LILILILO. Settings-OMWINYANJO. Call-BHWUMA. Received call- EJOJILAMIBHWE Missed call-JITALAMIBHWE. Game-OBHWENYWA. Menu-AGOGALIMO...
  13. B

    Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya KIJITA kwenye simu na mambo yatakuwa hivi

    Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya KIJITA kwenye simu na mambo yatakuwa hivi: phonebook-ECHITABHO. Names-AMASINA. Time-OMWANYA. Ringtone-LILILILO. Settings-OMWINYANJO. Call-BHWUMA. Received call- EJOJILAMIBHWE Missed call-JITALAMIBHWE. Game-OBHWENYWA. Menu-AGOGALIMO...
  14. B

    Natafuta Ideos

    Umefika unataka toleo jipya hau
Back
Top Bottom