Hivi jamani,nimeshuhudia watu wanafanya kampeni huku wanapiga kura!mtu anasimama kupiga kura ,kabla hajapiga kura anachombeza kwa kufanya kampeni!what is that?kweli akili ya 6 inazeeka vibaya,mambo anayofanya hata mtoto wa darsa la pili hawezi fanya!shameto 6,shame kwa wale wanaopitisha katiba...
kijakazi wa II;9261105]Yote hayo yanajulikana lkn ukiwa intelligent unapima maneno yako kulingana na jamii uliyoko, leo hii huwezi kwenda Israel ukasema kwamba Waisrael wanawaua Wapelestina na wanawadhulumu halafu utegemee kushinda uchaguzi Israel hata kama ni kweli Waisrael wanawadhulumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.