Naomba kujuzwa bei ya debe la mahindi kwa dar nishingapi au kwa kutumia kilo kipimo kilicho zoeleka uko nishingapi kwa yoyote anaeganya biashara ya nafaka dar na anaitaji mahindi mazur tunaweza wasiliana
Uwanja wangu umepakana na kiwanja cha mpira sasa wamiliki wa uo uwanja wa mpira wanatakakuuza kwa muwekezaji na muwekezaji anataka eneo kubwa kwaiyo wametuingilia hadi wanannchi tulio zunguka eneo la uwanja wanang'ang'ania kua ni eneo lao mbaya zaidi mwenyekiti wa kijiji ana mkono kwenye hiyo...
Jamani naomba msaada eneo langu linachukuliwa na limekwisha endelezwa nanyang'anywa bila kuusishwa nataka nifungue kesi msaada nisimamie sheria zipi na vifungu vipi?
Wakuu nipo mbele yenu kuomba msaada wa kujua vyuo vizuri vya misitu ajira zake na jinsi ya ku apply ni hayo tu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.