Unashangaa hili, je kuitwa raisi wa serikali ya awamu ya sita badala ya raisi wa sita wa serikali ya awamu ya tano! Hii ndio Tanzania. Kama aliyetunukiwa anapenda kuitwa hivyo machawa watafanyeje sasa?
Mmh yaani mazingira ya mtoto anayoishi lugha inayotumika zaidi iwe Kiswahili halafu akienda shule iwe kiingereza tupu halafu utarajie matokeo chanya ya kututoa hapa tulipo! Siungi mkono hoja. Kiswahili kitumike ngazi zote, kiingereza kibakie kuwa somo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.