Mimi Bartholomew Temba,Mwl wa sekondari mwenye (TSD no 18.05/T.12) katika Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu natafuta Mwl wa kubadilishana kituo cha kazi. Yeye aje wilaya maswa na mimi nije wilaya ya wilya ya dodoma ,Chamwino na kongwa. Mawasiliano; 0756666613.
Nipo ukerewe - Mwanza kwa Mwl yeyote aliyopo kwanzia singida,Dodoma,Moro,tanga,pwani,dar,tanga,arusha ,moshi,iringa,njombe na mbeya nahitaji kubalisha na mikoa yote niliyotaja.idara sec.0714620133
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.