Recent content by Bibi ya mwakio

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Asanteni
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Habari Wakuu, Natafuta mtaalamu wa tiba asili strong kutoka kongo, Malawi, Uganda, au kwa warundi. Mtaalamu wa mizimu au majini wakali. Anaejua taratibu za tiba, kwa kutoa vifungo, kuosha, kurudisha na kupandidha nyota iliyoibiwa. Nataka kung'aa na kufaulu kwa kila juhudi zangu.
Back
Top Bottom