Recent content by Bibi Pili

  1. B

    JamiiForums LEPAJE yazindua kampeni ya uoteshaji wa miti ya matunda juu ya Makaburi

    Moshi. Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na utunzaji wa Mazingira lijulikanalo kama LEPAJE limezindua kampeni ya uoteshaji wa miti ya matunda juu Makaburi kwa lengo la kuendeleza mapambano dhidi ya uharibifu wa mazngira nchini kwa kubadili wafu kuwa mti wa matunda. Katika kampeni...
  2. B

    JamiiForums Hai: Vigogo watano uwanja wa ndege KIA waswekwa rumande saa 24 kwa amri ya DC Sabaya kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha zaidi ya Bil 2

    HAI.KILIMANJARO WATENDAJI watano wa ngazi ya juu wa Kampuni ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa a wa Kilimanjaro (KADCO) wanadaiwa kuwekwa mahabusu kwa saa 24 kwa amri ya Mkuu wa wilaya ya Hai ,akiwatuhumu kuhusika katika ubadhilifu wa fedha zaidi ya Bil 2. Hatua ya mkuu huyo wa...
  3. B

    JamiiForums Mbatia: Mitambo iliyozuiliwa kukarabati barabara Vunjo sasa kurejea kufanya kazi hiyo Januari

    MBUNGE wa Vunjo, James Mbatia amesema kuanzia wiki ya pili ya mwezi Januari mwaka ujao, mitambo yote ya ujenzi wa barabara iliyokuwa imezuiwa na serikali ya Wilaya ya Moshi kuendelea na kazi za upanuzi wa barabara, itarejea kazini. Alitangaza uamuzi huo mbele ya mamia ya wananchi, viongozi wa...
  4. B

    JamiiForums Bashe: Albert Msando usitafute cheo kwa kupitia mgongo wangu, pambana na hali yako

    Msando muache tu maana wakazi wa kata ya Mabogini wanamkumbuka namna alivyo wakimbia ungekua ni wakati huu tungesema ameunga mkono jitihads
  5. B

    JamiiForums Watuhumiwa nane kati ya 11 wa mauaji ya mwanafunzi Scolastika wayeyuka

    Moshi : WATUHUMIWA wanane kati ya 11 walioshikiliwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Scolastica iliyopo katika Mji mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro,Humphrey Makundi (16) wameachiliwa huru. Miongoni mwa...
  6. B

    JamiiForums Mapya DAWASCO: Mzalendo aliyeibua wizi wa maji wa bil.2 atimuliwa kazi

    MLETA UZI UNAPASA NA WEWE KUMUOGOPA MUNGU.MAANA SASA UMEAMUA HATA KUTUDANGANYA NA SISI ,BAHATI NZURI WENGINE TUNAKUMBUKUMBU ZA KUTOSHA UNGETAFUTA TU MBINU NYINGINE YA KUMCHAFUA LUHEMEJA HAPA UMEFELI TAYARI. HIYO UNAYOITA KADHIA YA STRABAG ILIKWISHA ANDIKWA NA VYOMBO VYETU VYA HABARI NA...
  7. B

    JamiiForums Rais Magufuli tusaidie, Luhemeja ameigeuza DAWASCO shamba la bibi

    DALILI ZA MAJUNGU, Unasema anajipendekeza na kuonga kwa ajili ya kuupata ukatibu mkuu,kama haya si majungu thibitisha amemuonga nani na lini na kwa nini hadi leo hakuna hatua iliyochukuliwa kama kuna ushahidi wa hili,tatizo ni hofu imekujaa umeeona nyota ya LUHEMEJA inang'aa kutokana na...
  8. B

    JamiiForums Rais Magufuli tusaidie, Luhemeja ameigeuza DAWASCO shamba la bibi

    Nina wasiwasi na mtoa taarifa wako,ni kama vile unatumika kumchafua Luhemeja ,hivi wewe huwezi hata kujiongeza unatuuliza kwa nn Mwanasheria amefukuzwa,si ungeemuuliiza mwenyewekafukuzwa kwa nn,tena kwa sababu anajua sheria angekusaidia kabisa kisheria kafukuzwa kwa kufuata sheria ama...
Back
Top Bottom