Recent content by Bhushee Bhutakunyiga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

    Hata Richmond haikuwa na ofisi .
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanigongea girlfriend wangu baada ya kuiba namba yake ya simu kwenye simu yangu

    Kugongewa ni Siri ya ndani Jamaa umeamua kuleta jamvini ....nakushaur kisasi manake wanasema mtendwa hutendwa inaonekana hako kademu ulichukua kwa Jamaa mwingine.. yako nae yatamkuta kikubwa n kubadilika ....
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanaomfadhili Lisu hata kwa Tshs. 1 tuwamulike jicho la tatu

    Rudi darasani ukasome upya Kama unamchukia rafiki yako na mimi ni rafiki unataka nimchkie rafiki ili uonekanee wew ndio rafiki wa kweli...chuki ipo kwenye nafsi ya mtu Upendo upo rohoni pia...ukimchukia mtu usitake wengine wamchukie bila sababu za msingi....
  4. B

    JamiiForums Tanzania Marafiki laki 5 tu wakiamua kumchangia Mh Lissu elfu 2 tu kwa mwezi atakuwa amepata Tsh 1 billion

    Ikitokea wamesitisha mshahara wake Mimi nitatoa nusu ya mshahara wangu nampa Lissu kila mwezi hadi atakaposema niache mwenyewe.
Back
Top Bottom