Recent content by Bhuluba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mnaolalamika na kubeza Mbowe kwenda kuonana na Rais, Mlitaka afanye nini?

    Safiiiii .wakumbushe pia kuwa .Sera ya Sasa ni no hate no fear
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa Tsh Trilioni 1.5

    Masharti ya mkopo yakoje? Tumekopa ajiri ya Nini?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa utetezi punguzeni muda wa cross examination, kesi ya Mbowe yaweza kuamuliwa kwa haki kabisa hapa ilipofikia

    Samahani kama wewe ni mwanasheria .ni kuulize swali .kwanini Kuna cross examination? Faida yake ni ipi katika utetezi? Na je hasara ya kutofanta cross examination ni ipi?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Duh
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu ninashindwa kumsamehe Tundu Lissu

    Weka kumbukumbu sawa. Lisu hakusema Sheria zibadirishwe .alicho sema ni kuwa Tanzania ijitoe kwanza kwenye MIGA .ndo tuendelee na Mambo yetu .tukikurupuka tutashindwa.na tutashtakiwa na kulipa fidia kubwa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kabudi na Lukuvi wamehudhuria kikao cha Mawaziri kwa vyeo gani?

    Kwanini Mange?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Dr msukuma.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa kwanini Spika anaandika barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu wa Bunge!

    Samahani nawaza tu .ivi hiyo ni barua au ni Tangazo flani .?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Ok uko vizuri.lakni kumbuka katika sakata la matibabu ya Lissu .ndugai alisema ofs yake haijui kuwa Lissu Yuko wapi na anafanya Nini wakati dunia mzima inajua yalo mpata Lissu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    Dah inasikitisha Sana .sikujua Kama wakati wa kampeni ni porojo .mi nlijua wana Nadi sera ambazo watatekeleza Mara wapatapo ridhaa ya wananchi . Kumbe ni po rojo ,?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

    Samahan mleta mada.wewe pia ni mwanasheria?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Mbona kila Rais anakuwa Madarakani kwa mujibu wa katiba?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

    Hahahah dah imenichekesha hiiii
Back
Top Bottom