Habari wapendwa
Nligundulika nna minyoo na UTI kisha nkapatiwa dawa, bt kabla ya kupewa dawa hzo nlipimwa ujauzito kwani hzo dawa haziruhusiwi kutumia mjamzito ila nlivopima haukuonekana (nahis ilikua ni siku chache baada ya kuconceive) kwahyo nlipewa dawa hzo nkatumia, sasa baada ya wk2 nkaanza...
Habari wapendwa, naombeni mnisaidie nligundulika na minyoo na UTI nikapewa dawa lkn kabla sijapewa nlipimwa ujauzito haukuonekana (nahs ni siku chache baada ya kuconceive) ndo nkaruhusiwa kutumia dawa hzo kwan hawaruhusiw wajawazito kutumia hzo dawa, ila baada ya wk2 nlianza kuona dalili za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.