Mama ndiye tatizo kubwa. kuchanganya watoto wa kike na wakiume wenye umuri huo kwa nyakati hizi za utandawazi kweli hakufikiria. She is the one 2b blamed.
Mahakama na jela za watoto zipo. hatua kali zichukuliwe kwa vijana hawa ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia za kihivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.