Nmekumbuka zamani baba alikuwa anasema yeye ali ubwabwa apikiwe ugali sikuwa najua maana yake..Leo nmetambua jana ilibidi niseme nmeshiba ili watoto wale iilihali njaa inaniuma aisee kuwa baba sio mchezo mungu atubariki watafutaji wote tunaotafuta ..unaamka hasubui ujui unaelekea wapi na jioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.