Recent content by Best Thinker

  1. Best Thinker

    JamiiForums Tanzania Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

    Ifike wakati kabla ya watu kuposti chochote mitandaoni wakutafakari kwa kina katika maono chanya na hasi Hakukuwa na ulazima wa maelezo ya hii video kwa sababu yanagusa imani za watu wengine moja kwa moja Na wale wanaokosoa na kusema Upande fulani sio dini Wauangalie upande waliopo kama nao ni...
  2. Best Thinker

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: Job Seeker Education: Bachelor degree in Banking with Apprenticeship Experience: One Year experience as Banker Time available: Full time or Part time Location: Temeke, Dar-es-Salaam
  3. Best Thinker

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Ndugu ingekuwa vema ungetanabahisha japo Camps mbili kwa hapa DAR
  4. Best Thinker

    JamiiForums Tanzania Job Seeking

    Hellow Jamii Forums family, I am graduate of Bachelor of Banking, I have one year working experience as Apprentice at one of Tanzanian Commercial banks, I'm seeking for the job relating to my field or any relevant. I'm good at marketing, customer serving and other areas of the business. I'm...
  5. Best Thinker

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: Banker Experience : 1 year Education level: Bachelor degree Location: Temeke, Dar.
  6. Best Thinker

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza dola imefika Tsh 2500 je uchumi ndio unapaa?

    Boss suala la dola kufikia Tshs 2500 lina maana kwamba thamani ya Tsh imeshuka, na kupelekea uwezo wa manunuzi wa shilingi kushuka. Hii athari yake ni kubwa sana kwa wale wanaoagiza bidhaa na mizigo kutoka nje Maana yake ni kwamba uchumi umedorora na jitihada zinatakiwa kufanywa na benki kuu...
Back
Top Bottom