Menosugu unamaanisha aliyeweka hii post ya aibu humu JF ni ndugu yetu Oswald Tibabyekomya wa ofisi yetu ya DPP...duuuh, asitake kutugombanisha na ofisi ya TAKUKURU jamani. Bora umemuumbua aubebe mzigo wa unafiki peke yake na sio kuichafua ofisi yote ya DPP. Aliyoyaandika Oswald humu JF sio...
Ofisi yetu ya DPP haina maadili ya kusoma majalada ya watuhumiwa na kuja kuanika siri za ofisi kwenye jamii forum, muda wote sisi ni watunza siri za nchi kwani tunayaona mengi...lakini alilolifanya MASANJAGAMA ni kuidhalilisha ofisi yetu tena kakosa hata aibu kusema amefanya kazi hapa ofisini...
Hapana Bintiwangara simlaumu wala kujaribu kuficha ukweli...lakini ni busara watanzania wakaujua ukweli wa mambo kama ulivyo lakini hoja hii inaonesha chuki binafsi za mtoa post...unapokuwa kwenye utumishi wa umma ni vyema maadili ya utumishi yakazingatiwa kwa mambo muhimu ya nchi.
Asakuta Same unaloambiwa ni busara tu wala sio "wezi hulindana"...unaweza kuona mwenyewe aina ya utumishi wa umma alionao mtoa hii post...mambo ya ofisini na kwenye mafaili kuletwa kwenye jamii forum. Ukiichambua hii post yake ni dhahiri mtoa post ameamua kumshambulia Hosea kwa chuki zake...
Inanishangaza sana utumishi wa Umma wa namna yako MASANJAGAMA...suala lililotokea ndani ya ofisi yenu ya DPP unakuja kuianika humu kwenye Jamii Forum, hivi kuna siri tena za Serikali hapa...mambo haya ndio yamekuwa yakilalamikiwa sana na Mama Selina Kombani kwamba watumishi wa Serikali siku hizi...
Mbona hatuambiani ukweli humu ndani...hivi aliyeichunguza hii kesi si PCCB, sasa iweje yeye DPP aone kwamba ndiye anayeijua zaidi kesi hii na kuamua kuiondoa mahakamani kwa mamlaka yake???Wao PCCB waliona Kisena ni shahidi sasa iweje yeye DPP amuone Kisena ni mtuhumiwa huko si kuiharibu...
Wewe Sabato Masalia unaonekana una chuki binafsi na Dokta Hosea, inawezekana una manung'uniko yako binafsi ya kutokaimishwa ofisi....hovyo kabisa. Mbona haya ni mambo madogo sana hadi umeamua kutujuza huo umbea wako humu...hebu tuletee mada yenye tija tujadili kwa maslahi ya watanzania wote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.