Mi sidhan kama kuna haja ya kumwelezea Dr Slaa!!!!,Mtu ambaye alipata zaidi ya kura mil 3.5 uchaguzi wa 2010,Mtu anaye kubalika zaidi nchini kwa sasa.Muhimu ni kushirikiana naye kujenga chama kwa sasa na Matayarisho kwa 2015.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.