tulia kijana.
sitengui kauli, kwanza elewa maana ya "wengi (majority)"
soma tena mara tatu tatu bila kukurupuka.
Kuhusu hiyo ya Europe, kuna mwenzio alikuja na hoja kama hiyo na nilishamjibu na hajarudi tena.
Rejea replies zilizopita utapata jibu lako.
ipo hivi, Europe miaka ya 1400-1700 nao...
Ndiyo, ni dhahiri ulikuwa hujui. Sabb ungejua wala usingekomalia kwamba majina ya mwisho ya mtoto ni lazma yawe ubin wa baba.
yes majina watapewa utotoni.
point yako ya majina nimekuzima imeisha, umehamia nyingine. Hahahah!
Hiyo hiyo point yako ya date of birth pia nayo nakuprove wrong,
👇🏽...
unaweza ukaona kama hawana vigezo ila kiuhalisia wanavyo vigezo vyao. That's why sio kila mtu tu watamkubalia.
Mfano: kile ambacho ni kigezo kwa "Asha" , kinaweza kisiwe kigezo kwa "Anna", and vice-versa.
Waingereza wanasema, "choosing not choose is still a choice"
kwa asilimia kubwa jibu litategemea na jinsia ya anayejibu swali.
Mwanamke atavutia upande wake, Mwanaume naye atavutia upande wake.
👇🏽
Mwanamke atasema: "ni ngumu kupata mume, wanaume wenyewe tamaa na hawatulii"
Mwanaume atasema: "demu wa kuruka nae utapata, ila kupata mke ndo shughuli...
Mkuu, kuna mengi inabidi uyatafute kuhusu RITA na Law of the Child Act 2009.
Mtoto kupewa majina matatu kwa kutumia ubin wa baba ni desturi tu, sio lazma kisheria.
Hakuna sheria inayolazimisha.
rejea post zilizopita, nimekuelezea vizuri kuhusu namna ya kumpa mtu majina full (liwe jina moja au matatu) na yakatambulika kisheria kama utambulisho rasmi.
Jina ni utambulisho tu, halina kazi ya ku determine kwamba mtu flani atakua vipi.
Jina it's nothing but utambulisho tu, halina uwezo wa kuamua mtu atakuwa vipi.
Ukibisha, fanya kama nilivyokwambia umpe mwanao jina ALBERT EINSTEIN, BRUCE LEE, mpe jina la THOMAS EDSON, ROBERT OPPENHEIMER,
BARACK OBAMA, JULIUS CAESAR,
MAYER AMSCHEL ROTHSCHILD,
MOURICE HILLEMAN, MIKE ADENUGA...
Mkuu, au haujui kwamba jina la mtu linaweza kuwa lolote tu as long as halikiuki sheria na maadili ya jamii husika?
Au unadhani kwamba jina ni lazma liwe la mzazi?
Au hujui pia mtu anaweza kubadilisha jina na likatambulika kisheria?
Pia it seems that haujui km jina ni just utambulisho tu ili...
Baadae kuna watu watalia na kusaga teeth, toothpick.
"when the deal is too sweet with little to no risk, think twice"
Ukiona unabembelezwa sanaaaaa kwa kuitwa kwenye fursa yenye zero risk, aisee SHTUKA!
👇🏽
Kama ni kweli kwenye mtaji wa 10M unapata faida 500k kwa siku, basi nashauri uanze tu...
Hahah! Kwamba jina lina-determine jinsi ulivyo na utakayokuja kua 🤔
Sawa, ngoja nimwite mwanangu jina JOHN DAVISON ROCKEFELER.
Au ALBERT EINSTEIN,
Au MUHAMMAD,
Au JESUS, halafu tuone itakuwaje, coz mbona kuku-prove wrong ni easy tu. As simple as that!!
Mambo yangekuwa easy hivyo kwamba jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.