Yeah . Nikweli kabisa italemanufaa makubwa sana kwa Afrika sababu watu wengi sana wanapotoka nadini hizi ambazo zinatokomeza utamaduni wa Africa ...Hii inapelekea Umasikini mkubwa kwa waumini...Ningeomba wa Afrika wenzetu msitufikilie vibaya tunahitaji kutunza mila na desturi zetu,pia hata lugha...
Sema Broo unachoongea upo sahihi sana dini tulizonazo nizawatuwajammii nyengine nawala sio jamii za afrika,ataukiangalia dini hizo zinatamatuni za uko kwao ata historia namaeneo ni yaupande wao.... Kabla ya dini hizo jiulize Afrika tulikuwa na dini gani,Na kama tusinge tawaliwa na waarabu na...
Nachojua kwamba wakoloni walitushinda kwasababu tulishidwa kutumia uchawi kwa akili,badala yake tukatumia uchawi kama uchawi...hicho ndicho kinacho tusumbua mpaka hivi leo kuonakwamba uchawi mbaya kumbe tunashidwa kutumia akili kwenye kutumia uchawi ipasavyo na kuangukia kwenye umasikini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.