Recent content by bento

  1. B

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    samahani umesoma mpaka la ngapi ? maana unaugumu wa kuelewa nani kaomba mkopo jf au hujui kwanini jf unaitumia
  2. B

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    hili ndio tatizo la watanzania kutojua haki na wajibu wao unakurupuka kutoa majibu. bodi walitoa vigezo vya waombaji majibu hayo ungeyatoa kabla ya watu kulipa efu 30 ya form , hela ya uhakiki vyeti wa wanasheria/ mhakamni zaidi ya efu 20 na hela ya utumaji elfu 13 na sent kdhaa . sifa niizile...
  3. B

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    pole sa kwa kutojua mtoto wa mkulima lilikuwa na maan gani usipende kujibu kisa una account humu ndani .
  4. B

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    lot ya kwanza na ya pili imeisha LAW SCHOOL mikopo yao vp au mpaka waje na nao na viongozi hapo mwenge ndio mjue kama wapo . au wekeni wazi kuwa hakuna maana kuna watoto wa wakulima pia na kazi za degree ya sheria bila LAW school munajua wazi nigumu kupata . kila kazi utakuta must uwe umepita...
  5. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    kama qur`anic hapo sawa ila bibile unaeleza kuwepo na kuwa watakuwepo .
  6. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    bible inayozungumzia mambo ya yesu haikuwepo mpaka alipo ondoka ndio wakaandika , vitabu vote havikuandikwa pindi wahusika wakiwa hai. sasa unataka utabili upitie kwenye aya huwo sio utabili bali utakuwa umesoma maandiko. itabidi utafute maana ya utabili na nabii.
  7. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    kama hujui T.B alicho tabili basi
  8. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    sio kila unabii lazima uwe wa baada ya siku ngapi DAUDI mfalume wa ISREALI alikuwa akitabiliwa siku moja kabla ya vita kuwa atashinda au hatashinda so hilo lisikupe shaka. maana kwa macho na fikira lowasa alionka akingaa na watu wengi .Bulembo alizungumza hivyo kwa kuwa asingeweza kwa namna...
  9. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    kwa mjibu wa bible hakuna ukomo bado atazidi kuwepo ndio maana kwa sasa wapo
  10. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    hakuna haja ya kujibu swali kama hujui T.b alitabili nini
  11. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    soma kisha bofya link au napo utataka miwani manabii wapo na sio ujaja Yesu aliporudi kwao wakwao wakamtaka afanye MIujiza ili wamwamini akawajibu ( nabii huwa hakubaliki kwao) usifiki msemo huo ulitungwa na waswahili ni wa yesu. sasa kama kanisani unaona unabii hakuna jua upo gizani maana kazi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    imeandikwa wapi kuwa MUNGU aliweka ukomo wa MANABII maana kazi yamungu lazima iongozwe na Nabii maana bila nabii watu wake watapotea, sasa cheki link hapo chini then uje kuwa wapo na watazidi kuja uamini usiamini. https://youtu.be/y7H680-1RZo
  13. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    hakuna haja ya kuhangaika unabii ukikataa basi huyo mwongo , Mungu hashindwi . nabii akishindwa Basi Mungu kashindwa sasa tukubali Mungu kashindwa HAPANA , tukubali tu aliye tabili ikawa ni BENDELA maana kweli imekuwa sasa sijui T.B Joshua nitamwaminii vip wakati Mungu wake anashindwa .cheki...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nabii TB Joshua awasili nchini Tanzania, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli

    NABII wakweli ni yule anaye tabili ikawa sio yule anaye tabili uwongo( yaani isiwe) maana Mungu hashindwi, sasa T.B joshua ametutabilia uwogo. na huku NABII BENDELA AKIONYESHA KUJIAMNI NA KUTABILI KILICHOTOKEA na kweli imekuwa T.B kaja kujiosha au kungalia aliyetabilli ikawa. link ya utabili...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    aliye tabili na ikawa kweli ni NABII BENDELA wa UFUNUO peke yake nafikiri UKAWA walitakiwa kumwona yeye (JAPO NABII HUWA HAKUBALIKI KWAO) maana alisema magufuri ndio atashindi na kweli imekuwa,japo nilitaka babadiliko sina budi kukubali kuwa utabili wake umetimia sio T.B josua aliyetutabilia...
Back
Top Bottom