Habar zenu wakuu, nahitaji kuhama course ya hrm kutoka chuo kimoja nipo mwaka wa kwanza na kuhamia course ya Education,but sijajua kuhusu mkopo je haitoleta shida ktk kupewa na je ninaweza kuapply chuo kwa sasa ili nijiunge na course hiyo 2020/2021
Vip kwa mtu anae hama chuo na kuanza mwaka wa kwanza katika chuo kingine na course ambayo Ni tofauti aliyosoma mwaka wa kwanza je mkopo atapewa Kama kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.