sasa hawa askali tunaishi nao mitaani iwapo na sisi tukiamua kuwafanyia fujo kwenye makazi yao patakalika? tunaomba jeshi letu la polisi tunalipenda sana kifanye kazi sio kukamata watu bila sababu yoyote tusije tukachoka tukajibu mapigo hapata kalika
naomba kuuliza kivuko alichonunua magufuli mbona kibovu na kimenunuliwa kwa pesa nyingi? vipi kuhusu meli ya Samaki na uuzwaji wa nyumba za serikali huu ni ufisadi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.