Kwakuwa tunatambua jukumu la mbunge ni kuuwakilisha umma wa jimbo lake katika Bunge la JMT. Wewe kama mtia nia katika jimbo X, hebu fafanua ni kwa namna gani utazipatia ufumbuzi sababu kuu nne tajwa hapo juu zinazopelekea wewe kutia nia.
Lazima tuweze kutofautisha baina ya IQ na EGO. Mjuvi wa mambo ni mjuvi tu. Na utambaini katika nyanja kuu tatu, ambazo ni:-
1. Namna anavyo wasilisha mawazo yake juu ya jambo flani katika jamii inayomzunguka.
2. Namna anavyo toa msaada(wa mawazo, pesa au nguvu kazi) katika jamii...
Lazima tuweze kutofautisha baina ya IQ na EGO. Mjuvi wa mambo ni mjuvi tu. Na utambaini katika nyanja kuu tatu, ambazo ni:-
1. Namna anavyo wasilisha mawazo yake juu ya jambo flani katika jamii inayomzunguka.
2. Namna anavyo toa msaada(wa mawazo, pesa au nguvu kazi) katika jamii...
Vita inambinu nyingi za kimapigano. FARDC inaweza kuwaacha M23 kusonga mbele huku wakichukua/kuteka maeneo pasipo mapigano yoyote. Dhamira inaweza ikawa kumvuta adui katika eneo la kimkakati(killing zone).
Atakapo wasili eneo husika atakutana na nguvu kamili ya FARDC, huku wakiwa tayari...
Tuupe muda nafasi na kumbuka maneno huumba, mbaya zaidi yakirudiwa mara nyingi katika umma hata kama jambo lilikuwa halitekelezeki litatekelezeka kulingana na imani iliyojengeka miongoni mwa wengi.
Lonja ni msamiati ambao hutumiwa na askari & maafisa jeshini. Lonja limetokana na neno la kingereza “Launcher” likiwa na maana ya KIZINDUA.
Askari wa mizinga(ya masafa mafupi na marefu) hutegemea taarifa sahihi katika kupiga lengo(target). Grid Azimuths(Reference Point) za adui alipo na...
Hao vijana wa kitanzania wataobahatika kushiriki katika zoezi tajwa hapo juu, pindi jukumu litakapo kamilika/mkataba wa ulinzi EDRC kumalizika, watarudi nchini kama raiya au askari? JW watakua na mkakati gan juu yao? Maana watakuwa si raiya tena bali ni askar wa vita(kanuni kuu kwao ni mapigo na...
Walicheza hesabu zao vyema. Maana muhusika angefanikiwa kushiriki katika uongozi wa sasa ulioanza kutangaza hadharani misimamo yao juu ya uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, Bara pangechimbika. Nadhani kwa mara ya kwanza tungetoa wakimbizi kuelekea Kenya, Uganda na kwingineko. Taifa kwanza, mengine...
Siasa za majukwaani kwa CCM ili hali wako madarakani zaidi ya miaka 50 ni kujichafua. JPM alifanikisha kutoka katika siasa za majukwaani mpaka siasa za site. Watanzania wanahitaji ukamilifu wa matamko na miradi ya maendeleo. Hizi mboyoyo za majukwaani wawaachie CDM kwakuwa wapo ili kufichua...
Ni wazo zuri sana litakalo ibua hoja na kero mbalimbali, japo litaleta ukakasi katika ile dhana ya Bunge kuwa moja ya Mihimili ya Nchi na wabunge watawajibika Bungeni kwa kuwakilisha wananchi, kuisimamia serikali na kutunga sheria. Ikiwa wananchi watapata ufikiaji wa vikao vya Bunge kupitia simu...
Hoja si lugha ya Taifa flani kuzungumzwa sehemu ya Taifa flani ni kuhatarisha usalama. Sisi watanganyika tunatambua wapo wahamiaji harumu wengi walio jipenyeza na kupata hifadhi. Hii ni kutokana na udhaifu wa idara inayohusika na jukumu la kubaini na kusimamia uingiaji na utokaji wa raiya na...
Uwepo wa raiya wa kigeni ndani ya nchi si jambo la kuogofya. Tatizo ni pale uwepo wao kutofuata kanuni, taratibu na sheria. Mbaya zaidi wageni hao kutotambulika na mamlaka husiko (wako wapi, idadi yao na wanajihusisha na shughuli gani).
Katika kuimarasha Ulinzi na Usalama katika taifa lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.