Recent content by Benjamin Stephen

  1. Benjamin Stephen

    Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Bonde la Rufiji ahukumiwa miaka 14 jela

    Nimesoma kwenye chuo chake ukweli alikua mtu poa sana ani sijawai ona mkurugenzi wa chuo kama yy . Kuhusu hukumu iyo sina la kusema maana sijui chcht kuhusiana na kazi akiwa mkurugenzi wa ilo bonde.
  2. Benjamin Stephen

    Wasanii wa Kitanzania na siasa

    Mwandiko umefanya nn tena kaka
  3. Benjamin Stephen

    Wasanii wa Kitanzania na siasa

    Tatizo ni jamii kukubali mtu maarufu awaongoze na sio mtu mwenye sifa za kuwa kiongozi awaongoze apo ndo jamii zetu zinapofeli katika kuchagua viongozi bora.
  4. Benjamin Stephen

    Afisa wa TAKUKURU amuua mchumba wake kwa risasi baada ya kumkatalia ndoa licha ya kumsomesha

    jaman eeeenh tunakumbushana tuu mchumba siku zote hasomeshwi mpooo apo asa endeleeni kusomesha mnaosomesha tabu mtaipata.
Back
Top Bottom