Recent content by benitus bonifas

  1. benitus bonifas

    Naomba kufahamu namna ya kupata mkopo kwaajili ya biashara yangu

    sasa wee ndo umekuja na wazo zuuur sana mimi bhana nachomelea lkn nimeunda banda nahitaj kuuza mitumba sasa ela ya kuanzia sasa Tin na lessen vinapatikana kwa utaratibu hupi
  2. benitus bonifas

    Naomba kufahamu namna ya kupata mkopo kwaajili ya biashara yangu

    unaona hee sasa niwe nayo alaf nlakope sina hyo ela mm nahitaji kupanua tu biashara
  3. benitus bonifas

    Naomba kufahamu namna ya kupata mkopo kwaajili ya biashara yangu

    Salamu zenu wakubwa shikamoo Mimi ni kijana ninae jitafuta sana Naishi Mwanza najishughulisha na uchomeleaj, ila tatizo ni moja sisi hatukopesheki nahitaji mkopo wakuanzia laki saba. Nimeunda banda nifungue another plan ili niweze kupungunza ukali wa maisha ila je natoa wapi napataje? Naomba...
  4. benitus bonifas

    wauzaji wa mitumba naombeni ushauri

    Hsante brother pia naomba ushauri gredi zake zikoje kwamba gred flan ziko hiv hizi vile yaan za akina dada blauzi au gauni na za watoto wa umri gani
  5. benitus bonifas

    wauzaji wa mitumba naombeni ushauri

    kwa wauza mitumba popote mlipo naomba elimu nianze na nguo gani zinazo toka haraka na zabei ya chini naomben ushauri
  6. benitus bonifas

    TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    kweri maisha yetu sisi ni mafupi sana apumzike kwa aman
  7. benitus bonifas

    Nauza balo za mtumba grade 1

    Mimi nko mwanza nahitaji kuanza uuzaji wa mitumba naomba ushuri kqbla siza anza nianze na nguo zipi mtaji wangu laki nne kamili naomba ushauri 0756857448
Back
Top Bottom