Recent content by Beni felix

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuunguruma Washington D.C February 9

    Hata akirudi awezi kuja kama mlowezi tukampa kula, ndo hao wa kuuza mali asili zetu kwa mikataba ya mura mrefu! Kama aliyotufanyia mkapa! Mtu hawezi kutoka Marekani akaja akawa mzarendo! Jifunzeni Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuunguruma Washington D.C February 9

    Ulitaka aende kuwakamata mwenyewe?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHINESE MIRACLE II (CM2)

    Inauza kwa wale mafundi wa simu Bei 200000/= za kitanzania Nitafute inbox kama uko intrested Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania ONYO kwa wanaonunua simu humu

    CHINESE MIRACLE ll (CM2) inauzwa bei 200000TZS NIFUATE INBOX 0752630971 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    mi naona nyie mshakufa kifikra. kwasababu nyie mnatamaa za mali na madaraka na si maendeleo, ndo maana mnakuwa kama maroboti kwa mbowe. Mimi naamini CHADEMA siyo mbaya ila viongozi wa chadema wanakipeleka chama mlama.
Back
Top Bottom