Hawa vijana hawajakwiva kisiasa hata chembe, hata huko walikohamia wanaweza wasiaminike wala kupewa nafasi kwa kuwa kuna Sikh wakitoka watafanya haya wafanyayo leo dhidi ya chama walichotoka.
Hii ni sawa na mtu aliyekuwa kwenye mahusiano na mtu na muda wote akiwa kwenye mahusiano asiwe...
Spika wa bunge akihitimisha bunge jioni hii amesema kuwa wabunge watoro wote warudishe pesa walizolipwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi ambazo ni kuanzia tarehe 1 Mei mpaka 17 Mei, vinginevyo hawatapokelewa bungeni baada ya wiki mbili ambazo wanadai wapo quarantine
tahadhari mojawapo ambayo serikali inatakiwa kuchukua ni pamoja na kufunga mipaka ama la kufanyike vipimo madhubuti kwani wagonjwa wengi wanaopatikana ni wale waliotoka nje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.