Recent content by Bendera ya Bati

  1. B

    JamiiForums Tanzania Biblia ina majibu yote, tuisome kwa bidii

    Daudi alishawaza uwepo wa watu Kama wewe na akaandika kupitia Zaburi 14: 1 na 53:1 Nakubaliana na mleta mada kuwa kila tukio linalotokea ama sintofahamu yeyote, Biblia imeacha majibu. Nafasi bado ipo, Yesu anakuhitaji Ndg.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Ukiona mtu anajitanabaisha kuwa yeye ni chizi. Husijiangaishe kutumia nguvu zako kumjibu. Leave the imbecile alone!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Hata hivyo Ni muda mrefu umepita. Unajua hawa wanawake tunaowaoa Wana Siri nzito Sana hususani ukituka Hana bikra.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Hayo majina ni code ila Shansy ndiyo halisi Hana mpango na media za bongo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Eti mtu mzima. Basi hiyo ID yako (Kapeace)natengeneza picha ya kabinti fulani hv waruwaru. Husumbufu mwingiiiii bila sababu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Hujui wale wachawi walinipa uwezo, kukupiga sikupigi Ila dawa yako Ni kukuloga tu🙃
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Leta yako chukuchuku tuisome bhasi, kisebengo cha nini kwenye uzi wangu. Ukiona chumvi nyingi tia ndimu uongeze uchachu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Wasalaam Ndugu wasomaji, nimefuatilia nikaona kuwa wasomaji wangu wengi hawakuridhishwa na kuimaliza story bila kuwepo kile kipengele kinachoonesha wazazi walizipokeaje zile taarifa za utekaji. Nimeona si busara kuwaacha hewani katika hilo tukio ambalo pia kweli lilikuwa important kwangu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Niliamua kuifupisha sn ili iishe maana muda wa kuandika ni mfinyo na wasomaji hawakuelewi husipobandika epsod. Nimejaribu kufanya walichokipenda. Kumalizia story bhasi!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Alafu sikusoma serikali. Nilizima privatd
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    😆😆😆😆 Unaajua,nikwambie kitu, Mimi nilikuwa natokea mbali hivyo wazazi zangu walikuwa wananijali sana mzee alikuwa anafanya kazi taasisi kubwa so hakutaka nipate shida kabisa.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Huyo kapeace msumbufu sn. Acha alale tu😀
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Ngoja nakuja na kitu kingine. Kipo kwenye pipeline hapo ntaziba masikio tu.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Nimeamua kuifupisha sana Mkuu ili nimalize maana watu walishaanza kunishukia.
Back
Top Bottom